Uchanganuzi wa mafumbo katika nyimbo za taarab za Siti Binti Saad
Abstract
Makala hii imeangaza muhutasari wa nyimbo na maana ya mafumbo yanayojitokeza katika nyimbo za Taarab za Siti Binti Saad. Maana ya mafumbo katika nyimbo hizi yamehusishwa na utamaduni wa Waswahili katika Upwa wa Afrika Mashariki. Utafiti huu umeongozwa na nadharia ya Semiotiki na ile ya Mtindo. Utafiti huu ulikuwa wa nyanjani na wa maktabani. Kuna data za msingi ambazo zilikusanywa nyanjani na za upili ambazo zilipatikana kwenye vitabu maktabani. Nyimbo ziliteuliwa kimakusudi kwa vile ni nyimbo zilizojulikana sana. Makala haya yaliwasilishwa kwa njia ya maelezo ili kubainisha aina mbalimbali za mafumbo. Katika ufafanuzi wa mafumbo katika nyimbo hizi maudhui ainati yalijitokeza. Kazi hii inalenga kuwafaidi wanafunzi wa fasihi katika uelewaji wa jinsi ya kuchanganua mafumbo. Vilevile, nyimbo za Siti zitaweza kuhifadhiwa kupitia kwa utafiti huu. Makala hii itakuwa kumbukumbu ya nyimbo za Siti.
Downloads
Published
How to Cite
Issue
Section
Copyright (c) 2022 Job Juma

This work is licensed under a Creative Commons Attribution-NonCommercial-ShareAlike 4.0 International License.
This open-access article is distributed under a Creative Commons Attribution (CC-BY-NC-SA) license.
You are free to: Share — copy and redistribute the material in any medium or format.
Adapt — remix, transform, and build upon the material for any purpose, even commercially. The licensor cannot revoke these freedoms as long as you follow the license terms.
Under the following terms:
Attribution — You must give appropriate credit, provide a link to the license, and indicate if changes were made. You may do so in any reasonable manner, but not in any way that suggests the licensor endorses you or your use.
No additional restrictions You may not apply legal terms or technological measures that legally restrict others from doing anything the license permits.